Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

hivi Mimi kadoda humu JF mnaniweka kundi gani?

la vilaza,wenye busara au wenye nyodo?
 
Naona mnapiga Kona na mnafunga Wenyewe Vijana. Kweli hii ni JF!
nakumbuka tulikubariana tuwe tunatumia avatar zetu wenyewe.kama ninavo fanya mimi hivi sasa kwenye account yangu ya JF.

inakuwaje unatumia picha ya huyo mdau ambae si wewe ninayekufahamu?
 
nakumbuka tulikubariana tuwe tunatumia avatar zetu wenyewe.kama ninavo fanya mimi hivi sasa kwenye account yangu ya JF.

inakuwaje unatumia picha ya huyo mdau ambae si wewe ninayekufahamu?

Itizame vizuri na kwa umakini sana hiyo Picha halafu ihakiki kama huyo Siyo Mimi Mwenyewe GENTAMYCINE. Ulidhani naogopa kuweka hapa JF " nyago " langu kama unavyofanya Wewe? Huyo katika Picha ndiyo Mimi mwenyewe 100% hutaki " jinyonge ". Mmepiga kelele mnataka mnijue nimejiweka hapo bado tena hamuamini sijui mnataka nifanyeje.
 
Binafsi nafahamu wajihi wako kiundani sana.

ila nashangaa ktk avatar umeweka picha ya mtu mwingine ambaye si wewe.kulikoni?!
 
Wenye nyodo ni:

GENTAMYCIN
NYani Ngabu

Wenye busara :

Mshana Jr
Tized
Matola

Nampenda Faiza fox (japo ana nyodo pia),majibizano yake na mshana huwa yanataka kumtoa mshana kwenye kundi nillomuweka

Siyo GENTAMYCIN ni GENTAMYCINE swine! Kila siku nawasema kuhusu kuliandika vibaya jina langu ( ID yangu ) lakini hamsikii. Mbona Mimi huwa siyakosei majina yenu ( ID zenu? )
 
Binafsi nafahamu wajihi wako kiundani sana.

ila nashangaa ktk avatar umeweka picha ya mtu mwingine ambaye si wewe.kulikoni?!

Naona na leo tena umeamua kuja na hii ID yako huku zile zingine za Kazi tano ( 5 ) ukiwa umeziminya " kiaina ". Vipi hapo Mbezi Beach hawajambo? Pole sana kwa kuibiwa Simu kwa mara ya pili na mara ya tatu ukizubaa wataondoka sasa na hizo " Kende ".
 
Jibu kwanza swali pale juu,huo uzushi wako hapa si mahala pake,ID yangu ni moja tu ya kadoda11.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…