Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Be blessed my sisternipo my dear, have a blessed evening.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Be blessed my sisternipo my dear, have a blessed evening.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila kuna mmoja hapo ni full PUMBA Mkuu au umejisahau tu ukamuweka?
nakumbuka tulikubariana tuwe tunatumia avatar zetu wenyewe.kama ninavo fanya mimi hivi sasa kwenye account yangu ya JF.Naona mnapiga Kona na mnafunga Wenyewe Vijana. Kweli hii ni JF!
nakumbuka tulikubariana tuwe tunatumia avatar zetu wenyewe.kama ninavo fanya mimi hivi sasa kwenye account yangu ya JF.
inakuwaje unatumia picha ya huyo mdau ambae si wewe ninayekufahamu?
Mwenye busara mshana jr unajua namna ya kudili na watu wa namna zote bila kuwa na hasira
Binafsi nafahamu wajihi wako kiundani sana.Itizame vizuri na kwa umakini sana hiyo Picha halafu ihakiki kama huyo Siyo Mimi Mwenyewe GENTAMYCINE. Ulidhani naogopa kuweka hapa JF " nyago " langu kama unavyofanya Wewe? Huyo katika Picha ndiyo Mimi mwenyewe 100% hutaki " jinyonge ". Mmepiga kelele mnataka mnijue nimejiweka hapo bado tena hamuamini sijui mnataka nifanyeje.
Wenye nyodo ni:
GENTAMYCIN
NYani Ngabu
Wenye busara :
Mshana Jr
Tized
Matola
Nampenda Faiza fox (japo ana nyodo pia),majibizano yake na mshana huwa yanataka kumtoa mshana kwenye kundi nillomuweka
Me sijakutana na anaye nijibu vibayaIngependeza pia kama ungewataja basi na hao wenye hasira na kupenda kujibu wenzao vibaya ili tuwakanye humu kwani " mchezo huu hauhitaji hasira ".
Aisee jana shetani alinisimamia ukucha nikatenda dhambi[emoji85] [emoji85] [emoji85]hahahh...za j'pili mkuu!
Sema pole pole atasikiakalumanzila nakusaka aisee! kuna mtu ananizingua.
Binafsi nafahamu wajihi wako kiundani sana.
ila nashangaa ktk avatar umeweka picha ya mtu mwingine ambaye si wewe.kulikoni?!
ayaaa! ulienda msata nini?Aisee jana shetani alinisimamia ukucha nikatenda dhambi[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mkuu unaruhusiwa kujichagulia kule unapoendana napohivi Mimi kadoda humu JF mnaniweka kundi gani?
la vilaza,wenye busara au wenye nyodo?
Binafsi nafahamu wajihi wako kiundani sana.
ila nashangaa ktk avatar umeweka picha ya mtu mwingine ambaye si wewe.kulikoni?!
Jibu kwanza swali pale juu,huo uzushi wako hapa si mahala pake,ID yangu ni moja tu ya kadoda11.Naona na leo tena umeamua kuja na hii ID yako huku zile zingine za Kazi tano ( 5 ) ukiwa umeziminya " kiaina ". Vipi hapo Mbezi Beach hawajambo? Pole sana kwa kuibiwa Simu kwa mara ya pili na mara ya tatu ukizubaa wataondoka sasa na hizo " Kende ".
hapana,sitatenda haki.mtasema najipendelea.Mkuu unaruhusiwa kujichagulia kule unapoendana napo