Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Kuna mdau humu JF hujielewi kabisa... nimeminya jina lake
 
K 4 LIFE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaanzisha thread anakuambia muambie ni nani anayeitwa K 4 REAL akupe pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa nacheka sana pipo za upande wenu zilivyokuwa zikimwaga povu
Haha et mkawa mnasema tunakuja kwenye uzi wenu kutafta madem [emoji2] [emoji23] [emoji2] nilkua nacheka yani dah
 
Hahaha noma yan jf wangekua wanaruhusu matuc basi kila aina ya tusi tungetukana kipindi kile...
Yan kama nifah sikutegemea tunaweza kuja patana ww [emoji23] [emoji23] [emoji23]
vote vote vote... [HASHTAG]#uzalenzo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#wameshaelewa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#mtanyookatuu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#tumeshanyookainamenisasa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#wazee[/HASHTAG] #wa [HASHTAG]#DNA[/HASHTAG]
Hii familia nimeikumbuka sana. Kuna kamsemo ka kwa majirani pamenunaa
Burudani na pressure juu.
Watu temper zinapanda hadi tunakula ban unafanya masikhara?
Matusi nje nje [emoji23][emoji23][emoji23]

Big family. Namuona Shardcole analisongesha

Sio siri i miss that good big family.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…