Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa!! Hebu usivunje mbavu zangu bwana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitambo sana. Ndo kapotea kabisa humu maana sijamuona mda mrefu sana.
Nakumbuka Kiba anatoa video ya chekecha cheketua Nifah ulibidi uje maana uliaga sababu ya mfungo kama unakumbuka
Pole sana mama, get well soon.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Damn!Naumwa ujue?
Hadi umenichekesha.
Weeeee mimi kuna siku net ya tigo (kipindi hicho 2014 mwishoni kama sikosei Nov) ilikata siku 2!Yaani acha kabisa, i miss thoz grt dayz, siku ikipita haujaingia jf unahisi kuumwa.
Na mods ndio walonifukuza mm, maana ukitoka ukirudi unakuta comments zimefutwa kurasa 5!! Damn!!Namkumbuka sana. Naona yupo tu humu. JF addiction ile
Ila zile timu acha kabisa.
Thank you darlingPole sana mama, get well soon.
Nakumbuka hadi ukataka kuunua line ya airtel,. It was a family kabisa yaani, hadi raha.Weeeee mimi kuna siku net ya tigo (kipindi hicho 2014 mwishoni kama sikosei Nov) ilikata siku 2!
Nilihisi kuwa kichaa kisa JF!
Tukaona isiwe tabu. Mmoja mmoja tukajitoa kule maana ilikuwa keroNakumbuka hadi ukataka kuunua line ya airtel,. It was a family kabisa yaani, hadi raha.
Dah una kumbukumbu sana atoto [emoji119][emoji119][emoji119] shkamoo.Nakumbuka hadi ukataka kuunua line ya airtel,. It was a family kabisa yaani, hadi raha.
Kumbe ww Team AliKibamiaTukaona isiwe tabu. Mmoja mmoja tukajitoa kule maana ilikuwa kero
Sema AlikibaKumbe ww Team AliKibamia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Zile timu ilikua hatari...yan tunashinda kwenye uzi wenu humo humo kudadek[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Damn!Naumwa ujue?
Hadi umenichekesha.
Namkumbuka sana. Naona yupo tu humu. JF addiction ile
Ila zile timu acha kabisa.
Mi namkubali sana lakini pia MindSema AlikibaView attachment 394130