Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Hii si kweli banaa Nyani Ngabu hekima na busara tele, pamoja na mbwembwe zake ambazo wewe zinakukera. Dunia ndivyo ilivyo huwezi kumridhisha kila mtu.

Nyani Ngabu tabia zake hazina tofauti kabisa na Nyani .Mbwembwe nyingi hakuna busara pale
 
Mimi mzizi mkavu ndo alienifanya mpaka nikaingia jf ana busara na msaada kwa wengi Mimi nikiwa mmoja wao hongera nyingi zimfikie popote alipo
 
Nguruvi3 na Mchambuzi

Hawa wanaongoza kwa kuwa na busara!
Inaonyesha wameenda shule sana, lakini sijawahi kukuta Egoism kwenye post zao.
Na hata mara nyingi huwa wanatukanwa lakini huwa wanajua jinsi ya kupuuza.
Na zaidi hawa jamaa wanaheshimu mchango wa kila mtu, hata kama utatofautiana nao.
Busara si suala la elimu.
madhara ya kujifunzia kiswshili ukubwani ndo hayo, anaropoka sana yule mtu
 
Back
Top Bottom