Dah! My atoto unajua unaweza kusimamisha mapigo ya moyo wangu!!Walaaaa! Tena ondoa hofu, hakika kesho itakuwa njema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! My atoto unajua unaweza kusimamisha mapigo ya moyo wangu!!Walaaaa! Tena ondoa hofu, hakika kesho itakuwa njema.
thanx una busara sana kwa kweliI am humbled babe...karibu
Sasa yakisimama mimi kesho nani atanikuza? Usinifanyie hivyo bwana!!Dah! My atoto unajua unaweza kusimamisha mapigo ya moyo wangu!!
Usihofu atoto wangu... kwanza nikubali mapigo yasimame halafu wewe nimwachie nani!! Yaani mimi nirest in pisi halafu niachie watu wanakukomaza... no way! Halafu sijui ulienda wapi sijui....Sasa yakisimama mimi kesho nani atanikuza? Usinifanyie hivyo bwana!!
Sikwenda popote, nipo hapa hapa naisubiria kwa hamu siku ya kukuzwa.Usihofu atoto wangu... kwanza nikubali mapigo yasimame halafu wewe nimwachie nani!! Yaani mimi nirest in pisi halafu niachie watu wanakukomaza... no way! Halafu sijui ulienda wapi sijui....
Basi sawa, lakini usije ukanogewa hadi ukasahau shule...Sikwenda popote, nipo hapa hapa naisubiria kwa hamu siku ya kukuzwa.
Shule sitaki tena!!Basi sawa, lakini usije ukanogewa hadi ukasahau shule...
Dah! Afadhali aisee... namalizia tikiti maji langu kwanza! Nikimaliza tu; natimba mzima mzima!Shule sitaki tena!!
Fanya fasta.Dah! Afadhali aisee... namalizia tikiti maji langu kwanza! Nikimaliza tu; natimba mzima mzima!
Sio tatizo hilo, nitafute pmHela yako tuu. Teh teh
Kweli? Nipo njianSio tatizo hilo, nitafute pm
sweet and beautiful as always! hivi nilishakuambia kwamba nipo njiani hivi sasa?!Fanya fasta.
JonaxWalikuwa wanaboa sana. Ila cute b ban zilimuandama sana.
Pwilo
Peterchoka
Diva Beyonce
Nifah
Avemaria
Na wengine wengi
Huyu naye alikuwepo kweliJonax
Na wewe ulikuwa member?Jonax
SidhaniNa wewe ulikuwa member?
Ohooo kumbe waniona wakuja eee...mbona tulikuwaga wote kulee jmnNa wewe ulikuwa member?
Kwa I'd hii hiiiOhooo kumbe waniona wakuja eee...mbona tulikuwaga wote kulee jmn