Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Sasa yakisimama mimi kesho nani atanikuza? Usinifanyie hivyo bwana!!
Usihofu atoto wangu... kwanza nikubali mapigo yasimame halafu wewe nimwachie nani!! Yaani mimi nirest in pisi halafu niachie watu wanakukomaza... no way! Halafu sijui ulienda wapi sijui....
 
Usihofu atoto wangu... kwanza nikubali mapigo yasimame halafu wewe nimwachie nani!! Yaani mimi nirest in pisi halafu niachie watu wanakukomaza... no way! Halafu sijui ulienda wapi sijui....
Sikwenda popote, nipo hapa hapa naisubiria kwa hamu siku ya kukuzwa.
 
kweli tunatofautiana........NYODO AU BUSARA.....???!!!! na njaa yote hii....??? aaaya bhana......njoja niende Tazara nikahemee kibarua cha ujenzi pale kwenye fulaiova labda leo watanichagua nina siku tatu nashinda tu pale nafasi za kazi hakuna wengi tunasota kuangalia tu........nilifikiria kurudi kwetu nikalime lakini nimekatishwa tamaa na jamaa yanyu yupo kijijini ananiulizia wapi atauza Tangawizi kwani ana gunia 200 hajui apeleke wapi? kama kuna mtu ana soko la Tangawizi anipiem.............mhhhh Twafaaaaaaaa............!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…