MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
wapi Kaizer? mith you.
Mh!,wewe hapana.Busara Amenn[emoji126]
Ahsante sana uncle B na wewe uendelee hivyo hivyo na busara zakoMALCOM LUMUMBA
mshana jr
Heaven Sent
Odhiambo
Mussolin5
Nguruvi3
CHIEF MKWAWA
Jimena
Mohamed Said
Mag3
Kaboom
Kay scarpeta
Na wengine wengi tu .......
Uzidi kukua kwa kimo na maarifa na hekima Heaven SentAhsante sana uncle B na wewe uendelee hivyo hivyo na busara zako
Amen Amen Amen uncle,..... ila kimo kisizidi sana ntakuwa super ngongoti lolUzidi kukua kwa kimo na maarifa na hekima Heaven Sent
Haha basi hapo kwenye kimo toa weka moyo uliopondeka ,Moyo wa unyenyekevu, na kwa neema zake Mungu usipungukiwe na kitu hata akikupa majaribu basi akupe na moyo wa kuyashindaAmen Amen Amen uncle,..... ila kimo kisizidi sana ntakuwa super ngongoti lol
Amen, Daah nashukuru mno kwa maombi yako my kaka. It means a lot to HS. Ubarikiwe sana uncleHaha basi hapo kwenye kimo toa weka moyo uliopondeka ,Moyo wa unyenyekevu, na kwa neema zake Mungu usipungukiwe na kitu hata akikupa majaribu basi akupe na moyo wa kuyashinda
Asante sana dada yangu ,utukufu na heshima u nawe MunguAmen, Daah nashukuru mno kwa maombi yako my kaka. It means a lot to HS. Ubarikiwe sana uncle
ukikua utanipeleka tu diner no wory, nipo mpendwa mambo ndio mengiDaah nakuzibali sana Busara zako kwenye Ankara!
Nilikuambia nikupeleke dinner ukasema mimi mtoto.
Jamani hunitendei haki kabisa!
ππππππππ
Long time no see!
Afu weweukikua utanipeleka tu diner no wory, nipo mpendwa mambo ndio mengi
ukikua utanipeleka tu diner no wory, nipo mpendwa mambo ndio mengi
niambie mamitoAfu wewe
nikajua hela zipo ila umri ndio tatizo!!Sema ukiwa na hela utanipeleka dinner.
Nice to see you anyway!
Afu wewe
Ahsante sana uncle na, Mungu akujaalie vingi na vingi vilivyo vya kheri katika uhai wako.MALCOM LUMUMBA
mshana jr
Heaven Sent
Othiambo
Mussolin5
Nguruvi3
CHIEF MKWAWA
Jimena
Mohamed Said
Mag3
Kaboom
Kay scarpeta
Na wengine wengi tu .......
nikajua hela zipo ila umri ndio tatizo!!
Hee!Wewe mwanamke acha ushabiki,
Usije ukaniharibia mimi bahati maisha yangu yajae stress!