Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja umemsahau,kwanza hata uraia wake haujulikani km Mbongo au mrwanda,ana nyodo hatari,cjui muimba taarab yule jamaa!jina kapuni coz nishawahi kula ban kwa ajili yake naogopa nicje chezea ban nyingine bila sbbNyodo Faizafoxy, Busara Mshana Jr
Iam super Humbled [emoji120] [emoji120]Jimena
Everlenk
PNC 1
Mussolin5
Bitoz
amaizing
Th Name
Lizziebettie
Herrera
Wonderful
Youngblood
Emmyguy
Jambilo
Sumbai
Pamoja na MAKAPUKU WOTE!! japo siwezi kuwataja wote kwa majina ila HESHIMA KWENU MNA BUSARA SANA
Hapo hakuna wa zaidi
Wnye nyodo wana julikana mbona
Wale wawili [emoji23]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Iam super Humbled [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji106]
Allahuma amin.Inshallah mama asante sana Mwenyenzi Mungu akufanyie wepesi katika kila jambo ulifanyalo
Kie Kie Kie Kie aisee!Kuna mmoja umemsahau,kwanza hata uraia wake haujulikani km Mbongo au mrwanda,ana nyodo hatari,cjui muimba taarab yule jamaa!jina kapuni coz nishawahi kula ban kwa ajili yake naogopa nicje chezea ban nyingine bila sbb
Ha hahahhaah hahahhaah.....
hahahaaaaa!! Heaven Sent binti yangu umemuonea aisee!!
ex shem hizi ni hasira za kukunyima mdogo wangu cute b nn!?? yaani na busara zote hizi hadi zinamwagika!
Ha hahaha nimesahau kukutaja....Nimejitafakari na kujitathmini sana...hadi kufika page ya 7 sijapatikana na busara wala nyodo ya aina yoyote! Na kwa kuwa nyodo ni busara kwa aliyeibeba ilihali busara ni nyodo kwa asiye nayo basi nichukue nafasi hii kujitangaza rasmi kwamba sifungamani na upande wowote!
Kwenye kategori ipi?Ha hahaha nimesahau kukutaja....
Tatizo sijui upo wapi?? Ngoja niwaze...waze ntapata jibu ishomireKwenye kategori ipi?