Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Jimena

Everlenk

PNC 1

Mussolin5

Bitoz

amaizing

Th Name

Lizziebettie

Herrera

Wonderful

Youngblood

Emmyguy

Jambilo

Sumbai




Pamoja na MAKAPUKU WOTE!! japo siwezi kuwataja wote kwa majina ila HESHIMA KWENU MNA BUSARA SANA

Hapo hakuna wa zaidi

Wnye nyodo wana julikana mbona

Wale wawili [emoji23]
 
Iam super Humbled [emoji120] [emoji120]
 
Kuna mmoja umemsahau,kwanza hata uraia wake haujulikani km Mbongo au mrwanda,ana nyodo hatari,cjui muimba taarab yule jamaa!jina kapuni coz nishawahi kula ban kwa ajili yake naogopa nicje chezea ban nyingine bila sbb
Kie Kie Kie Kie aisee!
 
Nimejitafakari na kujitathmini sana...hadi kufika page ya 7 sijapatikana na busara wala nyodo ya aina yoyote! Na kwa kuwa nyodo ni busara kwa aliyeibeba ilihali busara ni nyodo kwa asiye nayo basi nichukue nafasi hii kujitangaza rasmi kwamba sifungamani na upande wowote!
 
Ha hahaha nimesahau kukutaja....
 
Inasaidia nini sasa? Hapa hkn mpango wa kujuana wala kutafuta sympathy, its really hard to suss real ulterior of many jf users...after all what for?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…