Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi namkubali sana Uncle ben na The boss wako makini kwa kweli.
Mi naona ni kinyume chake [emoji41]Nyani Ngabu ana busara sana
@Heavent Sent busara zake nazikubali
Kuna yule mwanamama mwingine ngoja nikumbuke I'd hua namkubali sana
Huyo kilaza tuNyodo zimuendee Faizafoxy
HahaaKonda wa bodaboda ana busara sana.
Nyani Ngabu tabia zake hazina tofauti kabisa na Nyani .Mbwembwe nyingi hakuna busara paleNyani Ngabu ana busara sana
hahahh...za j'pili mkuu![emoji23] [emoji144] [emoji23] si watanikoma. ..!!!?