Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Wengi sana nikiwataja nitamaliza kesho.. HESHIMA NA ADABU iwafikie MAKAPUKU WOTE. Wao ni Zaidi Ya Watu Wengine humu Jf. Heshima kwa Mkuu mshana jr na Dada YANGU KIPENZI @loveissweetie.

Mwisho ni kwa mpenzi wangu na mwanamke wa maisha Yangu habari ya hapa... Nakupenda sana tena sana
Oyooooo.... Nimependa hiyo "mwanamke wa maisha yangu"

Mungu awafikishe mbali zaidi
 
Kwenye busara wako wengi, ninaowakumbuka fasta ni hawa wafuatao:-

Mshana jr.

Heaven sent

The boss

Tized

Wengine nitawajazia majina yamepaa, hawa ukiwatukana au kuwaudhi hawarudishi au kuweka ligi nawe na ukibishana nao wanapinga kwa nguvu ya hoja na wakishindwa huwa wanakubaliana nawe.

Wenye nyodo wapo wengi ilaaa[emoji22] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Awwww thank you so so much. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Duh,hadi uzi unafika ukurasa wa nane Lara 1 hajatatajwa pande zote mbili? Wachen utani wakuu
 
tusimsahau mzee wetu wa mitaa ya kkoo.mzee Mohamed said.

yule mzee ana busara sana.majibu yake siku zote yamejaa hekima.huwa tunamtukana sana anapo anzisha mijadala yake.

nadhani hekima ya kiutu uzima inasaidia kumuuongoza.vinginevyo humu ndani pangekuwa panachimbika.
CC Mohamed Said
Takbih!
 
"we pasua tu huna hela we sisimizi tukutane msimbazi ujue mimi ni nani" naomba kukumbushwa mwenye jina hili nahisi ni mmoja wa wenye nyodo humu na sijui kaenda wapi
 
Back
Top Bottom