Mwana JF mwenzenu BEIRA mbion kuachia ngoma chini ya uongoz wa Hamisa Mobeto

Mwana JF mwenzenu BEIRA mbion kuachia ngoma chini ya uongoz wa Hamisa Mobeto

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Mimi kama mwana jamii forum niko mbion sana kuachia ngoma yangu mpya na ya kwanza kabisa maana sijawah achia ngoma hata moja

Ngoma yangu inakwenda kwa jina la HABARI ZIFIKE ngoma hii nilitunga mwenyewe lakin baadh ya mistar niliingiza humo baada ya kuambiwa na boss wangu hamisa mobeto aliye shiriki kutunga nami kwa njia ya pm ya insta


Ngoma hii imetengenezwa na BIN LA DEN wa tongwe rekod kupitia studio yake ya dodoma

Bin la den ndo mtu aliyeniunganisha na hamisa maana mimi studio nilienda kwa pesa zangu lakin nilikuwa nahitaji MENEGER WA KUPUSH NGOMA ZANGU ILI ZIKIKI NA KUSIKIKA


nitaachia audio baada ya week moja au mbili video itafuata

Team yangu ni kubwa sana maana hamisa siyo wa kimuchezo mchezo

Ngoma bado producer bin la den ana malizia mixing then ndo tuachie

Bos wangu kanihakikishia kuwa tutakuwa bega kwa bega kwa kila tour ya redio na tv ili kupush ngoma yangu


NAOMBEN MNIPE SAPOT NDUGU ZANGU WA JF HAKIKA TUTASHINDA maana kuna sehemu jf nimeitaja kwenye hiyo ngoma


ASANTEN SANA


LONDON BABY
 
Tunausubiri ujio wako
Siku ukipata uitwe kwenye kampeni za ccm 2020
 
lostfox~pambana na hali yako
mbona huyo dogo alitoa ngoma yake kimya kimya tena aliweka YouTube ila mziki mzuri watu waliutafuta huko huko
 
Nilikuwa nakufauatilia maelezo yako tokea mwanzo ila nimekomea hapo kwenye tongwe records, sidhani kama kuna cha maana unachoweza kufanya.
 
Back
Top Bottom