MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Sapoti kwa mume lazimaaaa
nawaza siku ya uzinduzi nimpe kampani !hakawii kuchukuliwa !nakaba kona zote !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sapoti kwa mume lazimaaaa
Ila inahitaj ujipange, maana kila nyumba ina msanii na mashabiki nao wanataka waimbeNaitaji saport yako mkuu ngoma iko mbion kutoka
Baby wala hata usihofu baada ya miez kazaa sisi tutakuwa ni watu wengine kabisa tuwe tu bega kwa bega
Poa imba tuu utatokaMkuu nina mashair ya kufa mtu na ya hatar hata boss wangu alinyanyanyua mikono juu
ahsante kujitambuaHahaaaa hapana siwez kuchukuliwa kirahis hivyo