Sapoti kwa mume lazimaaaa
Ila inahitaj ujipange, maana kila nyumba ina msanii na mashabiki nao wanataka waimbeNaitaji saport yako mkuu ngoma iko mbion kutoka
Baby wala hata usihofu baada ya miez kazaa sisi tutakuwa ni watu wengine kabisa tuwe tu bega kwa bega
Poa imba tuu utatokaMkuu nina mashair ya kufa mtu na ya hatar hata boss wangu alinyanyanyua mikono juu
ahsante kujitambuaHahaaaa hapana siwez kuchukuliwa kirahis hivyo