Mwana JF mzuri nimekaa nae siti moja

Mwana JF mzuri nimekaa nae siti moja

nisi wachoshe wana jf.Kichwa cha habari cha husika. Kiukweli leo nimepanda hari moja na mwana jf mzuri sanaa tulikaa wote siti ya nyumba kwa kuwa alikuwa busy sana na chati nilimsalaimu tu.

Natamani aione thread hii ani inbobo napenda awe rafiki yangu wa kuchati pia.
Yaani nimejiuliza huyu ni kessie,Joanah, Valentina, Lara1 .....!!!
Mara uonapo thread hii tafadhari ni inbobo tulipanda wote gari ielekeayo makumbusho kutoka buguruni.siti ya nyuma kabisa

It wasn't me... Kasie niko Kimbijiii...
 
Wanaitwa madomo tenga.
Hahahaha mkuu domo tenga nisinge msalimu. Nilimsalimu na kutazama mood. Wlinijibu na kwa saikolojia alionekana kuwa busy na kile anachowasiliana hivyo asingetoa ushirikiano kwa wakati ule.
 
Hivi kwani kila mwanamke mnayekuwa na common interest ni kumtongoza tu? Sasa hivi watu weengi sana wako JF, mkibadlishana mawili matatu tu mtaibukia JF na kucheka sana, nina marafiki kadhaa wa kukutana nao jinsi hiyo, na ni marafiki tu wa kawaida huwa tunakutana tunabadlishana mawili matatu bila kutongozana!
 
Hhahahhh..!! YAN KWAMBA DOMO LIMEZIDI TOFALI a.k.a Inferiority complex..,, Ongea na mtoto we domo zege.,, Na ukichelewa tu hapo unanuka mdomo baadae itakua kero thatha kwa Mrembo.,,!! AU wew unachojua ukiongea na Manzi ni mtongozo tyu
 
Point rafiki. Na hasa hili ndio kusudio langu ingawa nshangawmzwa na wadau wengine wanavyowasilisha comment zao kwa mawazo hasi mara domo temga mara zege. Wasichoelewa mimi nilipenda awe rafiki yangu wa chati ndio maana sikusita kuweka wazi kwenye uzi wamgu na naamini kwa nilivyomuona na busara Ake akiona huu uI ata ni Pm
Hivi kwani kila mwanamke mnayekuwa na common interest ni kumtongoza tu? Sasa hivi watu weengi sana wako JF, mkibadlishana mawili matatu tu mtaibukia JF na kucheka sana, nina marafiki kadhaa wa kukutana nao jinsi hiyo, na ni marafiki tu wa kawaida huwa tunakutana tunabadlishana mawili matatu bila kutongozana![/QUO
 
Haha
Hhahahhh..!! YAN KWAMBA DOMO LIMEZIDI TOFALI a.k.a Inferiority complex..,, Ongea na mtoto we domo zege.,, Na ukichelewa tu hapo unanuka mdomo baadae itakua kero thatha kwa Mrembo.,,!! AU wew unachojua ukiongea na Manzi ni mtongozo tyu
ha
 
Wow
It wasn't me... Kasie niko Kimbijiii...
!! Dah!! akhsante kasie. Ila nawe napenda uwe chating friend wangu kiukweli. Vile ukogo charming i blv sita regret hasa kipindi hiki najuaga tachati vyema
 
Mtoa mada sijui ndio udomo zege au maana karibu kila unachopost unachapia neno. Tulia mkuu. Atakuja tu au tayari anakuona unavyolia hapa.
 
nisi wachoshe wana jf.Kichwa cha habari cha husika. Kiukweli leo nimepanda hari moja na mwana jf mzuri sanaa tulikaa wote siti ya nyumba kwa kuwa alikuwa busy sana na chati nilimsalaimu tu.

Natamani aione thread hii ani inbobo napenda awe rafiki yangu wa kuchati pia.
Yaani nimejiuliza huyu ni kessie,Joanah, Valentina, Lara1 .....!!!
Mara uonapo thread hii tafadhari ni inbobo tulipanda wote gari ielekeayo makumbusho kutoka buguruni.siti ya nyuma kabisa
Wanaume wa Dar bhana! ashatongoza amemaliza ,...kutongoza akiwa amemkazia macho demu hawawezi, mpaka aingie WhatsApp, badoo, instra.....ulishindwaje kuitumia nafasi ya kwenye gari mpaka unakuja kulialia hapa, hivi mkoje wakuu...uliogopa kunyofoa sponji za siti, maana nyie mkiongea na demu nyie ndo mnatangulia kutafunatafuna miti.....
 
Hahahaha

Back
Top Bottom