Kwenye nywele nyweleDaaah! Ule wa Mara ya kwanza kufanya mapenzi ilikuwaje, kuna mkuu humu alidai mwanamke alimwambia acha ujinga wewe ingiza hapo kwenye manyoyamanyoya. Daaah sina mbavu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Daaah! Ule wa Mara ya kwanza kufanya mapenzi ilikuwaje, kuna mkuu humu alidai mwanamke alimwambia acha ujinga wewe ingiza hapo kwenye manyoyamanyoya. Daaah sina mbavu.
Mimi pia!!! Naupenda huu uziUle wa mazingira hatari zaidi uliyowah kufanyia majamboz aka papuchka
[emoji23][emoji23][emoji23]Ule wa ushamba mzigo siku ya kwanza kupanda ndege kuna mkuu alisema siku hio alisindikizwa na ukoo mzima halafu wakajipanga airport kupiga picha ya ukumbusho
Mwingine akasema alishonewa Kaunda suti ili akampokee sista ake airport
[emoji23][emoji23][emoji23]mm ni uzi wa mazingira hatarish uliyowah kufanya mapenzi, mfn mmoja tu Kuna jamaa alifanya mapenz juu ya kaburi, akaulizwa hukupata mikosi baada ya hapo, akasema hapana labda marehem nae alikua mzinzi
Mbona umebadili avatar[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani siruhusiwi kubadili?Mbona umebadili avatar
Hii ya sasa unaweza kufanya MTU ukaonga mpaka kandambili/ndalaKwani siruhusiwi kubadili?
HahahaHii ya sasa unaweza kufanya MTU ukaonga mpaka kandambili/ndala
Tupieni linkMimi pia!!! Naupenda huu uzi