Mwana Jf; Post gani au uzi gani uliwaowahi kukufurahisha hapa Jf?

Mwana Jf; Post gani au uzi gani uliwaowahi kukufurahisha hapa Jf?

Ule wa ushamba mzigo siku ya kwanza kupanda ndege kuna mkuu alisema siku hio alisindikizwa na ukoo mzima halafu wakajipanga airport kupiga picha ya ukumbusho
Mwingine akasema alishonewa Kaunda suti ili akampokee sista ake airport
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mm ni uzi wa mazingira hatarish uliyowah kufanya mapenzi, mfn mmoja tu Kuna jamaa alifanya mapenz juu ya kaburi, akaulizwa hukupata mikosi baada ya hapo, akasema hapana labda marehem nae alikua mzinzi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ule uzi wa sijui akina Bujibuji,Nyani Ngabu kuwa ni wanawake .

Nilicheka sana huo uzi

Na ule wa kufanyia mapenzi mazingira hatarishi

Na ule wa mara ya kwanza kufanya mapenzi
 
Daa uzi ambao nikisom nacheka ni huu waliosoma senti kayumba tukutane hap wazeee wa vidumu vya maji huu uzi unafurahish san
 
Kuna uzi ulirudishwa kwa mara ya pili, ukionesha, jinsi manyumbu wakimnadi mamvi kuwa fisadi .
 
Back
Top Bottom