Unataka kuwajua Kama wenzako wapo nawe usogee na glass yako[emoji3][emoji3]Jf bhana
Vipi vile vijamaa vinavyoomba vimiminiwe bia kwenye glass leo vipo kwa wingi?
Ndio mkuu..nataka nisogee hapo na ki-red cup changuUnataka kuwajua Kama wenzako wapo nawe usogee na glass yako
Karibu tena..yaani Ni yeke ...yeketete
Mkuu uwe unanialika unaniachaje lakini
YEKETETE[emoji1]
nimefika embassy nikuletee demu mmoja
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ndio mkuu..nataka nisogee hapo na ki-red cup changu
Asante sanaKaribu tena
Huuu mbimbo unaplay kichani....Yekete Mambo Bien Yebo Yebo wacha kuchonga ngenga tuliza kipago Zay B yuko gado!!!