Mwana JF uliye ghorofani ndani ukumbi wa starehe Musoma nyanyua mkono halafu tuseme yekete

Mwana JF uliye ghorofani ndani ukumbi wa starehe Musoma nyanyua mkono halafu tuseme yekete

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za humu ama za toka juzi jana na leo😜 leo nipo Ze club Musoma ghorofani nakula life tu nani kama mimi.

kama member upo humu nyanyua mkono kwa mbali mbali sema tu kwa nguvu zote piga kelele "yekete"🤦😂🤣🤣

Nipo nakula raha na baridi hili leo ndo leo humu.✋Yekete.

🤦🤪🏃
 
Nilichogundua wanaume walevi sio wachoyo kabisa kukaribisha, kasoro tu hawa wanawake walevi ni wachoyo na vi savana vyao [emoji23][emoji23]

Yeketeee
 
Back
Top Bottom