Stand SAA 9[emoji1]Ungeenda stand
Sio ubahili mkuu ,hii nishazoea nikifika mkoa wowote ule guest zangu ni pub tu[emoji38]Hahaaaa we jamaaa una bajeti ya kibahili hatateeee.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Balimi zita wauaMwana Jf kama uko moshi Town karibia club alberto tupige vitu huku tukisubiria pasaka.
Kuna RedstoneBlack diamond ndio habari ya mjini kwa sasa🙂🙂
Usituogope mkuu ss ni watu wa amani sanaTatizo la Black diamond, kuna watu wa kutoka mererani ndio wanajifanya watemi sana..... Hadi wahudumu wanakua hawatupi huduma stahiki na kwawakati
Basi nitarejea...[emoji5] [emoji5]Usituogope mkuu ss ni watu wa amani sana
Daa unanikumbusha maisha ya majengo secondaryMwana Jf kama uko moshi Town karibia club alberto tupige vitu huku tukisubiria pasaka.
Acha urongo,enzi zipi wakat pub Alberto haina enzi? Au unaongelea MALINDI kwa makahaba?Duu hivi mzee Chriss bado yupo ? Nakumbuka enzi hizo naingia hapo kulikuwa na dada poa maharufu Sweet, Beyonce,Shushu nk na choko anaitwa Kinje ....
Dj alikuwa Hamza na Tonny