Mwana Jf uliyeko moshi njoo Pub alberto tupige vitu

Mwana Jf uliyeko moshi njoo Pub alberto tupige vitu

bc25a39b57390f1438048e4dd2444689.jpg
 
black diamond vibaka kuanzia wahudumu wa nje mpaka counter.
huduma mbovu sana halafu hakuna usalama vyakula vyao vyote kiporo
halafu wanafunzi kibao........kwa kifupi black diamond haina hadhi labda wahamie NJIRO
Mambo yapo REDSTONE!
 
Duu hivi mzee Chriss bado yupo ? Nakumbuka enzi hizo naingia hapo kulikuwa na dada poa maharufu Sweet, Beyonce,Shushu nk na choko anaitwa Kinje ....
Dj alikuwa Hamza na Tonny
Acha urongo,enzi zipi wakat pub Alberto haina enzi? Au unaongelea MALINDI kwa makahaba?
 
Back
Top Bottom