Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,045
MoshiNipo Huku Mushi internationa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MoshiNipo Huku Mushi internationa
hahahaha, itakua huyo dj wamemtoa mitaa ya malindi😀😀😀Hamna kitu wewe, hapo mataa ndiyo yamejaa,ndo nimetoka hapo muda si mrefu nikaona isiwe tabu, kwanza dj wao kazi haiwezi kabisa.
zungusha basite za kutosha mkuu, usalama hawakawii muda wa wanga kuja kukuchomoa hapoAlikuwa laliga.
Mkuu, mimi nipo hapa Malindi naserebuka na nyimbo za king zamani.Mwana Jf kama uko moshi Town karibia club alberto tupige vitu huku tukisubiria pasaka.
Ebu njooni huku Malindi aiseeeee.......Ngoja nije ila usiniteke
Umekaa kwa wapi
Tatizo la Black diamond, kuna watu wa kutoka mererani ndio wanajifanya watemi sana..... Hadi wahudumu wanakua hawatupi huduma stahiki na kwawakatiBlack diamond ndio habari ya mjini kwa sasa🙂🙂
Malindi hapafai kwa Disco aiseeeeee........hahahaha, itakua huyo dj wamemtoa mitaa ya malindi😀😀😀
Malindi ni sehemu ya wazee mkuu.Mkuu, mimi nipo hapa Malindi naserebuka na nyimbo za king zamani.
Namuona Mzee mwijuma hapa (baba wa mwana fa) anaimba nyimbo ya [emoji444]kiongo..mama njoo..[emoji447] .....unitulize roho niridhike....[emoji445]
Ebu njoo hapa Malindi tule raha kwenye dunia na hawa watoto wa kizungu....[emoji39] [emoji39]
Mkuu, mimi nipo hapa Malindi naserebuka na nyimbo za king zamani.
Namuona Mzee mwijuma hapa (baba wa mwana fa) anaimba nyimbo ya [emoji444]kiongo..mama njoo..[emoji447] .....unitulize roho niridhike....[emoji445]
Ebu njoo hapa Malindi tule raha kwenye dunia na hawa watoto wa kizungu....[emoji39] [emoji39]
Ohooooo......[emoji45] [emoji45]Malindi ni sehemu ya wazee mkuu.
Kama vipi wewe sogea pande hizi tu.
Enzi za Old moshi tulikua na sisi black and white tunaenda kusuuza vibamia vyetu hapo malindi😀😀😀Malindi hapafai kwa Disco aiseeeeee........
Kwasasa malindi pana bebwa na live band tu. Na siku wakiacha kupiga band pale malindi panakufa na kuzikwa mchana kweupeeeeee
Ohhhhh......[emoji87] [emoji87]Sema Mwanaume wavulana wamelala mida hii