Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Hivyo sivyo avatar yako ina maanisha uliwahi kuwa na nyadhifa Fulani sasa huna kitu chochote na unaishi Kwa kutegemea chakula cha mama kama kilichompata Valentine aliyewahi kuwa raisi sasa ni chokoraa
Asante .........Aisee unaweza kuwa mtabiri mzuri......2020 nani atakuwa Rais wa Tanzania baada ya uchaguzi mkuu?
 
Yangu ni umeme ulikatika bungeni kipindi cha Jk hao wabunge wakawa wanatumia tochi.
Safi sana.....na mpaka leo umeme bado haujawa stable...labda tungoje huo wa Stigler's
 
Safi sana.....na mpaka leo umeme bado haujawa stable...labda tungoje huo wa Stigler's
Ni kweli mkuu,kipindi hiki cha Magu nilijua umeme utakua stable ni change avatar lkn naona kimyaaa tu.
 
Mm nilifanikiwa kuwatorosha wanafunz wenzang zaid ya 50+ ,ili wasipigwe na FFU,kulipotokea vurugu mech school.
Baada ya hapo waliniita SCOLFIELD M.
 
Back
Top Bottom