Na hapo ndio kitu kwenye balaa maana Kyle hakumpendezi MTU.good ni kweli ka cute....sijui huko kaliko kwa sasa hali ikoje....
hapo ni ofithini mkuutuambie ya kwako kwanza in maana gani
Ndivyo nilivyombona umekasirika kunani....?
Bilashaka ulikua unajaribisha na haukumwaga ubongo aiseeeee....Mimi niliwahi kufanya hivyo hadi leo alama ninayo.
A candle loses nothing by lighting anotherYangu ipo clear
ipo clear kivipi
Yangu ni jiwedogo mkuu....jiwedogo hujasema yako ina maana gani
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mimi ya kwangu inajieleza kabisa na hii ndo style yangu ya kuunga mkono juhudi zake
Kila mwana JF ana avatar yake lakini kiukweli kuna zingine ukiziangalia mpaka unakosa majibu.
Hivi unaweza kueleza maana ya avatar yako na kwanini uliamua kuiweka hiyo?
Mimi yangu ni kwasababu mwana usalama kazi ninayoipenda.