Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Kila mwana JF ana avatar yake lakini kiukweli kuna zingine ukiziangalia mpaka unakosa majibu.

Hivi unaweza kueleza maana ya avatar yako na kwanini uliamua kuiweka hiyo?

Mimi yangu ni kwasababu mwana usalama kazi ninayoipenda.

Mimi napenda kujumuika na watu ili tucheze muziki.

Napenda sana muziki hasa wa mtindo wa Pop Punk ambao hujumuisha kundi la wanamuziki wengi jukwaani kama ule mtindo mwingine wa Rock.

Kuna makundi ambayo huwa nayafuatilia kama Blink-182, Fall Out Boy, Linking Park, Coldplay na The Eagles.

Lakini pia napenda R&B, Pop na Jazz.
 
Back
Top Bottom