Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

castr tueleze hiyo avatar yako maana yake nini......hata picha unaweza kutumiwa usijekuwa ni mtoa roho
Hahahaha.

Mimi ni gym rat na hiyo avatar ndiyo kielelezo
 
Napenda mziki na Nina ndoto za kua msanii mkubwa ndio maana avatar yangu inaontesha kama kihome studio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…