Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Umebadili avatar yako Nemo...Mimi ni kwa kuwa I was in a celebratory mood, plus love wine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umebadili avatar yako Nemo...Mimi ni kwa kuwa I was in a celebratory mood, plus love wine
Hahahaha.castr tueleze hiyo avatar yako maana yake nini......hata picha unaweza kutumiwa usijekuwa ni mtoa roho
Mmh!! sikuwahi kujua...Ni mimi mwenyewe huyo
Picha yangu?Uligoma kunitumia picha, ungefanya hivyo kuna kitu ningesema hapa
NdiyoPicha yangu?
Mekutumia mbona hujaiona kwani?Ndiyo
I see, itakua simu yangu ina shida.Mekutumia mbona hujaiona kwani?
Safi sanaMimi ya kwangu inajieleza kabisa na hii ndo style yangu ya kuunga mkono juhudi zake
Mekutumia nne tena kweli hujapata?.I see, itakua simu yangu ina shida.
Tena? Please...
Unapenda kubambiwa?me ya kwangu inajieleza haihitaji maelezo mengi
kinyume chakeUnapenda kubambiwa?
Alioa mke, mke akamsaliti, akaendelea kuvumilia mpaka mke akajishtukia akaacha au?Yangu nilivyo soma historia ya huyo mbwa na uvumilivu wake nikaipenda
Haupendi kubambiwa?kinyume chake