Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Aliachwa na mmiliki wake kituo cha treni akakaa hapo kwa miaka 10 akimsubiri arudi ila akurudi paka alivyopata mtu mwingine akamchukuaOk alivumilia nini?
Hatimae weusi tumepata kisifiwaAna rangi nzuri sana. Huwa naamini wanawake weusi ni wazuri tofauti na weupe wengi huwa wanabebwa na weupe wao. Kila sisi tulio katikati ngumu kujua kama mtu mzuri au mbaya ni mpaka mtu aone.
Raisi mpya huyo wa Liberia.....Messi sio kiumbe cha ajabu mbele ya huyo mtuGood.......nani huyo......nadhani alikuwa AC Millan au