Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Ya kwangu inamaanisha mwanaume mashine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana kwa design nzuri za vitenge na nategemea wateja umepata hata kupitia hapa JF chit chatView attachment 687598 View attachment 687599 View attachment 687600 View attachment 687600 View attachment 687601 View attachment 687604 mimi ninabadili kila wakati iliyopo sasa inamaanisha nauza vitenge na ninatengeneza mapochi kama unayoyaona hapo pamoja na walet pamoja na viatu ............... View attachment 687590 View attachment 687597
Yap du alikuwa bado mdogo....nakumbuka AC Milan hapo akichukua uchezaji bora wa Ulaya 1995 na ndipo alipochukua uchezaji bora wa CAF..Africa na pia wa FIFA.........wa DuniaRaisi mpya huyo wa Liberia.....Messi sio kiumbe cha ajabu mbele ya huyo mtu
Thanks mkuuGood and nice ......wishing you all the best in your vission.
Ndo namalizia baadhi ya documents ili nikamdhaminiUmeeleweka Guzman lakini mwenzako yuko jela huko Marekani kwa mihadarati...Guzman ..El Campo
Kama hujaweka avatar si rahisi ikawepo kitakachoonekana ni rangi tu na herufi moja ya kwanza ya ID yakoWakuu bora hata nimepata thread inayoongelea avatar.
Mimi avatar za member wengine hazionekani , yaani naona jina tu. Kuona avatar mpaka niende kuangalia profile ya mtu. Hali hii ni tofauti na nilipokuwa guest. Nisaidieni.
Hahahahahah ile kesi nzito tena ya kurithi kutoka kwa Boss wake.Kuna mauaji humo,kujenga tunnel au mashimo chini ya ardhi zaidi ya 126 kutoka Mexico kuingia Marekani bila tawala ya Marekani kujua pamoja na doria yote ile.Kumiliki vikundi vyenye silaha na kufanya uhalifu na mauaji.Uuzaji wa mihadarati,heroin,coceine,marijuana kwa nchi za Marekani,Australia,na baadhi ya nchi za ulaya.Ndo namalizia baadhi ya documents ili nikamdhamini
Avatar nimeweka pengine haionekani ,lakini Mimi nikigusa kwenye vile vimistari vitatu juu kulia naiona pamoja na ID. Sasa sijui tatizo niniKama hujaweka avatar si rahisi ikawepo kitakachoonekana ni rangi tu na herufi moja ya kwanza ya ID yako