Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Yangu sijawahi badilisha toka nijiunge JF, avatar yangu inatoka Battle field ( nimecheza hili game hadi sasa hivi natembea kama nimepinda[emoji23]
 
Yangu kwa sababu namu admire the late mobutu na ndiye role model wangu,,,
Good .....alikula bata sana huyo jamaa na kuuza nchi....alikuja kumaliza maisha vibaya na hata kuzikwa Morocco ambako ndiyo alifia.
 
Inajieleza yenyewe..
Makaveli the don.. Killuminati king pac mzee wa thug life

Aisee nakikubali mnoo hichi kiumbe.
Ok ....huyo si ni Tupac Shakur au katika hiyo avatar yako.....au picha zinafanana.
 
Anatakiwa kupasuliwa hayo majipu ...du ila kama ni boss wangu basi mgonjwa huyo...
ndio maana anatuendesha maana anavichwa viwili nakila kimoja kina taka Mawazo yake ndio yawe yenye kupewa kipaumbele

any way BINAFSI NAIPENDA AVATAR YANGU KWA SBABU NAPENDA KUWA MTU MWENYE MITAZAMO INAYOJENGWA NA FIKRA CHANYA ..NANDIO SBABU KUU ILIYONILETA JF kwa sbabu naamini kuna watu wengi wenye mitazamo chanya ..nitapata kuelimika na kuwa mtu mwenye ideas mbali mbali
 
Yangu sijawahi badilisha toka nijiunge JF, avatar yangu inatoka Battle field ( nimecheza hili game hadi sasa hivi natembea kama nimepinda[emoji23]
Hongera sana...kazi nzuri hiyo.
 
ndio maana anatuendesha maana anavichwa viwili nakila kimoja kina taka Mawazo yake ndio yawe yenye kupewa kipaumbele

any way BINAFSI NAIPENDA AVATAR YANGU KWA SBABU NAPENDA KUWA MTU MWENYE MITAZAMO INAYOJENGWA NA FIKRA CHANYA ..NANDIO SBABU KUU ILIYONILETA JF kwa sbabu naamini kuna watu wengi wenye mitazamo chanya ..nitapata kuelimika na kuwa mtu mwenye ideas mbali mbali
Good points na ni muhimu sana kwa ulimwengu sasa ulijaa kila aina ya ujuzi hasa wa kisasa.
 
23DB49B1-EF66-4CE2-BEA0-FD907F6202A5.jpeg
tupe historia ya huyu mtu basi mkuu
 
Back
Top Bottom