hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaame ya kwangu inajieleza haihitaji maelezo mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaame ya kwangu inajieleza haihitaji maelezo mengi
ndio maana anatuendesha maana anavichwa viwili nakila kimoja kina taka Mawazo yake ndio yawe yenye kupewa kipaumbeleAnatakiwa kupasuliwa hayo majipu ...du ila kama ni boss wangu basi mgonjwa huyo...
hahaaYangu sijawahi badilisha toka nijiunge JF, avatar yangu inatoka Battle field ( nimecheza hili game hadi sasa hivi natembea kama nimepinda[emoji23]
Good points na ni muhimu sana kwa ulimwengu sasa ulijaa kila aina ya ujuzi hasa wa kisasa.ndio maana anatuendesha maana anavichwa viwili nakila kimoja kina taka Mawazo yake ndio yawe yenye kupewa kipaumbele
any way BINAFSI NAIPENDA AVATAR YANGU KWA SBABU NAPENDA KUWA MTU MWENYE MITAZAMO INAYOJENGWA NA FIKRA CHANYA ..NANDIO SBABU KUU ILIYONILETA JF kwa sbabu naamini kuna watu wengi wenye mitazamo chanya ..nitapata kuelimika na kuwa mtu mwenye ideas mbali mbali
tupe historia ya huyu mtu basi mkuu
Uki google ndiyo utafurahiya!tupe historia ya huyu mtu basi mkuu
asante nimekuelewa mkuu