Mwana JF wa Mwezi.

kaka yangu kipenzi njoo huku unaitwaa Joseverest
 
Je, anavyowahi hizo mada huwa anachangia mada husika au ni wale wale wenye tabia za kuandika ..

Napita tu!
Ngoja waje,..
be 1st to reply..
wacha niwahi siti..
 
Je, anavyowahi hizo mada huwa anachangia mada husika au ni wale wale wenye tabia za kuandika ..

Napita tu!
Ngoja waje,..
be 1st to reply..
wacha niwahi siti..
Muda mwingine anaandika ushauri mzuri, sijawahi kuona akiandika 1st to reply..labda hiyo ngoja wenyewe waje
 
Jamaan ebu mpumzisheni Joseverest simu yake bundle lake ebu mwacheni kidogo

Jose na ww usiogope maneno ya watu humu jf endelea kucomments kama mwanzo
 

Kwani Mkuu Joseverest una ID ngapi humu JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…