Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumpe pongezi zake...though kuna baadhi ya members wanamind kumuanzishia nyuzi hivi.... Ila jamaa ni mtu poa sana.... BIG UP Joseverest
Kamanda wa vitaa jf.ni msomaji wa Vita.naisi atakuwa kajizolea kila maarifa humuImetosha sasa mpumzisheni Joseverest
Muda mwingine anaandika ushauri mzuri, sijawahi kuona akiandika 1st to reply..labda hiyo ngoja wenyewe wajeJe, anavyowahi hizo mada huwa anachangia mada husika au ni wale wale wenye tabia za kuandika ..
Napita tu!
Ngoja waje,..
be 1st to reply..
wacha niwahi siti..
Wenye wivu wamemteka. watu wamemfungulia manyuzi kibao kumdiscuss..mpaka sasa hivi ajapita hapa
ukaka umeanza linikaka yangu kipenzi njoo huku unaitwaa Joseverest
jfJamaa sijui huwa anafanya kazi saa ngapi
Habari wakuu,kichwa cha habari hapo Juu kinajieleza,binafsi namchagua huyu jamaa Joseverest...kwa sababu ya ushapu wake wa kuwa #1 kureply kwa kila uzi unaoanzishwa hapa Jf kwa majukwaa yote...bado natafakari huyu jamaa inakuwaje hadi anakuwa wa kwanza najua hata hapa kwenye uzi wangu atakuwa wa kwanza...salute mkuu.