[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji125] [emoji85] [emoji125] [emoji85] [emoji13] [emoji121] [emoji121] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Halo ya mbuzii!!!Haloooooo
Wee acha tu imefikia mahali namwitaga 'Mrs. GuDume'doh!! huyo nae hatari aisee, ila mimi pia Madame B kanifanya nijiunge nilikua nasoma tu nyuzi as guest uzi wake wa kuhojiwa ukanivutia zaidi nimechukua huu uamzi so siwezi mcheka jamaa.
GuDume nae anavistory story vya kuchangamsha japo kamba
Hahah.. tatizo lako wewe ukishakuja kaupepo ka bahari kanaanza nipuliza kushoto. But ni mmoja ya wachawi pekee usiyejua kuchukia which is verevere mashikolo mageni kwangu!.hahaaaaa"" hiyo sifa uliyompachika " HR666 nadhani huwa unanipachikaga na mimi"" huna Araby kabisa wewe kijana
hahaaaaa haaaaUnamwombea aishi maisha marefu ili nipate kufaidi sio? We ni shemeji mwema sana aisee...
hahaaa wewe mzee itakuwa una stress za kutotajwa kwenye teuzi aiseeEwaaa... unajua watu wengi hawajui ID yangu myingine ni "To be continued "
Ahsante kwa kunikubali babu yako. We lazima utakuwa jiniaz. Ntakuaward PhD ya kemia ya ubanguaji korosho.
Kabisa mkuu kuhusu hilo nakuunga mkono, mapenzi ni kama ugonjwa flani hivi unaweza kumpenda mtu wengine wakawa wanawaza hivi huyu ni nini kimemfanya akampenda Y.Wee acha tu imefikia mahali namwitaga 'Mrs. GuDume'
Haya mambo bwana yanashangaza sana, ndio maana huwa nawashangaa watu wanaohoji members humu kupendana wakati hawafahamiani, wanashindwa kutambua kuwa comments zetu zinaweza kuwafanya watu kupendana au kuchukiana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani!Kuna rafiki yangu mmoja anamkubali GuDume mpaka basi, alijiunga JF kwa ajili yake!
Binamu upo.....!Hata mm hunikubali
hahaaaa"" chief you already know" jinsi navyo kuadmire" Hakuna sabbu ya Mimi kusema" ...Aisee nikasirike" nini sasa" nimejifunza kuwa mfu wakati nipo hai " na ndio kanuni pekee" ambayo naona " itanisaidia kuweza kuishi na watu" ... mfu hata umseme vipi huwa hasikii"' iwe ni kwa mazuri au mabaya ""Hahah.. tatizo lako wewe ukishakuja kaupepo ka bahari kanaanza nipuliza kushoto. But ni mmoja ya wachawi pekee usiyejua kuchukia which is verevere mashikolo mageni kwangu!.
Me ukigusa nerve zangu sikuachi, but seemz kwako zishakatika hata tukizimwagia maji hakuna shoti!. Keep it up man, huo ni mchango tosha JF nzima not just to me!.
Mzee mbona inaonekana kama unataka kupiga chabo [emoji3][emoji3][emoji3]Ila jiran kiukwer pasipo kupepesa macho wew ni mnono
Ndo hivyo [emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani!
Namuelewa sana Mimi nilijunga kwa sababu pia ya watuNdo hivyo [emoji16][emoji16]
Wacha weee! Akina nani hao?[emoji101][emoji101]Namuelewa sana Mimi nilijunga kwa sababu pia ya watu
Ila nisije sahau wewe ndio mzigo nilokua nasubiri kuutaja, nisije sahau bure! 😀hahaaaa"" chief you already know" jinsi navyo kuadmire" Hakuna sabbu ya Mimi kusema" ...Aisee nikasirike" nini sasa" nimejifunza kuwa mfu wakati nipo hai " na ndio kanuni pekee" ambayo naona " itanisaidia kuweza kuishi na watu" ... mfu hata umseme vipi huwa hasikii"' iwe ni kwa mazuri au mabaya ""
though na wakubali watu wengi Sana humu' I mean Saana" niweke wazi tu " wamenisaidia mnoo kunitoa Ujinga
[emoji23][emoji23]Mahaba niue...