Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sjiaona ujumbe mkuuThanks mkuu..
Barikiwa sana
Nasubir Reply yako ya ujumbe niliokutumia.
[emoji23] [emoji23] gudume katajwa sana humu...Leo mwanaume wangu katajwa mara nyingi kweli kweli ama kweli akili kubwa ile,mimi nakukubali pia mpenzi.
Kuna barua yako hapo juu Demiss.Yan acha kabisa na akanikula kabisa yaniii ananijua mpaka ndani kabisa kama nina upelee au tairi kipara
Mahaba niue...Babuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sh'kamoo kwanza,.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] found new hardwareDemiss licha ya kuwa ni mtu anaespeak mind yake bila kujali chochote pia ni Mtu rahisi sana kuendana nae...yaani anyone can easily befriended with her.
Precisely, huwa anafanya research anaandaa list zake za boys ma HB humu JF sijawahi kukosa kwenye list yake... Thats not simple, That's noble respect anayonipa is priceless.
Anayajua mahaba na anapenda kwa dhati. Refers mshana Jr case na unguli alionae demiss kule kwa wakubwa.
Wewe Demiss ni mzuri, charming, and tender...achana na wale mademu pugi demu ana mikono migumu hadi akigusa Laptop inaandika "Found new hardware"...Ahahaha!! Demu ngozi ngumu hadi akikonyeza kulia na mguu wa kulia unanyanyuka kidogo. Ahahaha!
Keep the fire burning swry lady.
[emoji176]
hahaa kuna mmoja ana majina matatu nimemuona hapo!..Ahsante sana mdogo wangu hata mimi nathamini sana sanaa michango yako hapa jukwaaani.
Binafsi nawakubali wanajukwaaa wote humu, japo kuna watu ambao huwa napenda sana kusoma michango yao:
Ndugu yangu FisadiKuu
chige ,
JokaKuu ,
Wick /Palantir/Indundu
zitto junior ,
Zitto ,
Pascal Mayalla ,
whitehorse ,
charty ,
espy ,
Heaven Sent .
Da'Vinci ,
Son of Gamba ,
mitale na midimu ,
Consigliere ,
Red Giant ,
britanicca ,
GuDume
NB: Hawa ni wachache tu
Kuna rafiki yangu mmoja anamkubali GuDume mpaka basi, alijiunga JF kwa ajili yake!Nawakubali Madame B anaonekana ni mtu asie na makuu sana.
kapeace: ni mtoto flani anafaa kwa matumizi ya nyumbani.
Mzigua: sifa zake nabaki nazo
GuDume: mtunzi mzuri wa hadithi
hahaaaaa"" hiyo sifa uliyompachika " HR666 nadhani huwa unanipachikaga na mimi"" huna Araby kabisa wewe kijanahahaa kuna mmoja ana majina matatu nimemuona hapo!..
Me nashukuru michango yako huwa inanisaidia sana pamoja na vitabu vyako!.. List yako ni yangu kasoro kwangu wanaongezeka
hearly mchawi/nuksi/MD/CwK
Mzigua90
Demiss
Shunie
Kasie
Prof
Kiranga
Hawa watu nikiwasoma huwa napata kitu!. Kuna HR666 naona siku hizi hayupo online naye alikuwa na pumba za kuniongeza siku za kuishi.
doh!! huyo nae hatari aisee, ila mimi pia Madame B kanifanya nijiunge nilikua nasoma tu nyuzi as guest uzi wake wa kuhojiwa ukanivutia zaidi nimechukua huu uamzi so siwezi mcheka jamaa.Kuna rafiki yangu mmoja anamkubali GuDume mpaka basi, alijiunga JF kwa ajili yake!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji125] [emoji85] [emoji125] [emoji85] [emoji13] [emoji121] [emoji121] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Namkubali Mshana jr kwa sababu ni mtu anayenijua nje ndani kuanzia Jf mpaka ndani kabisa bila nguo.
duuuuhh "" hahaaaa"' umetisha"Namkubali Mshana jr kwa sababu ni mtu anayenijua nje ndani kuanzia Jf mpaka ndani kabisa bila nguo.