Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Swahiba kumbe uwa unapita pita kule!
 
i can't explain... nimekumiss zaidi kupotea kwako kipind kile kukanifanya nami nipotee jumla hahaha
nikahisi kuna mtu alikuhaki but now nina amani

teh usipotee tena bhana... ile mitaa yetu nimeshindwa kabisa kuhudhuria

nikiona avatar yako tu mie taabani kwa furaha
 
nikahisi kuna mtu alikuhaki but now nina amani

teh usipotee tena bhana... ile mitaa yetu nimeshindwa kabisa kuhudhuria

nikiona avatar yako tu mie taabani kwa furaha
ondoa hofu mamii...
ile mitaa leo nitajaribu kwenda maana kitambo jf

hahaha napata tulizo la moyo nisikiapo na kukuona una furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…