Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
When you like your own post..Ninamkubali sana Sammo Hung
Swahiba kumbe uwa unapita pita kule!Numbisa - Namkubali sababu huwa anamwaga madini sana kule jukwaa la likes, najua hujui kama nakusomaga kimya kimya ila unanikosha jamaani lol.
Uendelee hivyo hivyo mwaya usiwe mchoyo rafiki sababu si habari za zinazohusu Afya, siasa ,watu maarufu na hata michezo weye unatuletea tu.
Babu mwenyewe uwa anasifia humu ulivyo mnonoUmejuaje unono wangu?
wenye mali naona mnalinda mzigo wenuwee mzee hebu acha fujo tulia na bibi Sky Eclat
chief ulifichwa wapi?wenye mali naona mnalinda mzigo wenu
Nilienda kuangalia kombe la dunia niakpotea hahaha aje aje bosschief ulifichwa wapi?
aisee pole sana,Nilienda kuangalia kombe la dunia niakpotea hahaha aje aje boss
ya kung'olewa meno hapana chief ila nimerudi kijiweniaisee pole sana,
hayajakukuta kama ya dr shika kweli!?
safi chief...karibu tena.
nimekumiso ujue...teh tehya kung'olewa meno hapana chief ila nimerudi kijiweni
i can't explain... nimekumiss zaidi kupotea kwako kipind kile kukanifanya nami nipotee jumla hahahanimekumiso ujue...teh teh
nikahisi kuna mtu alikuhaki but now nina amanii can't explain... nimekumiss zaidi kupotea kwako kipind kile kukanifanya nami nipotee jumla hahaha
ondoa hofu mamii...nikahisi kuna mtu alikuhaki but now nina amani
teh usipotee tena bhana... ile mitaa yetu nimeshindwa kabisa kuhudhuria
nikiona avatar yako tu mie taabani kwa furaha
Napitaga tena kimya kimya Swahiba.Swahiba kumbe uwa unapita pita kule!
Inabidi nawe uwe unatia nenoNapitaga tena kimya kimya Swahiba.