[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkifika kwenye mizigo kuna mmoja nitamtaja!..
Ambake pm labda [emoji23][emoji23]Kwann usimbake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eeeh huko hukoAmbake pm labda [emoji23][emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Shukrani my dear. Nami nakukubali sana na ninapoona nyuzi za kusifia wanawake wastaarabu,wenye hekima humu ukiwa mmoja wao naona mleta mada kautendea haki uzi wake.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mshana jr. Huyu jamaa nmpenda sana, na mke wake dermis
Nawakubali wengi hadi nashindwa kuwataja. Na ninaowakubali wanajijua pia
Unamwombea aishi maisha marefu ili nipate kufaidi sio? We ni shemeji mwema sana aisee...Nakuombea sana dada! Maana...!
Najua unajijua anko JujuAhsante sana!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unamwombea aishi maisha marefu ili nipate kufaidi sio? We ni shemeji mwema sana aisee...
Mi najua wewe unamkubali sana Jokate sema unaogopa kumtaja. Hapana chezea kitu kinaitwa pyu pyu pyu![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wote ukimaanisha hata Deo Kisandu?Nawakubali wote, haswa ISIS!
Bila wao JF isingekuwepo!
Remain blessed mpate HEKIMA NA BUSARA!
That’s all walahi!
@asprin bado nakipenda kifanyio changu[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji378] [emoji375]Mi najua wewe unamkubali sana Jokate sema unaogopa kumtaja. Hapana chezea kitu kinaitwa pyu pyu pyu!
@Sakayo yuko honeymoney Maldives.