Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Nawakubali wote, haswa ISIS!
Bila wao JF isingekuwepo!
Remain blessed mpate HEKIMA NA BUSARA!
That’s all walahi!
 
Mi najua wewe unamkubali sana Jokate sema unaogopa kumtaja. Hapana chezea kitu kinaitwa pyu pyu pyu!
@asprin bado nakipenda kifanyio changu[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji378] [emoji375]
 
Back
Top Bottom