HahahahaWote ukimaanisha hata Deo Kisandu?
Hakika wewe lazima utaenda mbinguni
[emoji23][emoji23][emoji23]Wote ukimaanisha hata Deo Kisandu?
Hakika wewe lazima utaenda mbinguni
Dah nani kanipoka mchepuko wangu? Hana adabu kabisa@Sakayo yuko honeymoney Maldives.
Dah nani kanipoka mchepuko wangu? Hana adabu kabisa
Unaonaje ukiziba pengo lake???. Au hupendi kacheo kapya kanaitwa Jokate?
omimi kiukweli kuna members wana ni inspire sana sio mmoja na ninaomba niwaweke hapa kutokana na michango yao.
Humble africa
Kiranga
Shunie
Mzee Said Mohamed
Nyani Ngabu
Aspirin
Mwifwa
Malcom Lumumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hata mimi? Dah shukrani sana?
Hebu chagua kabinti kokote unakoona kanakufaa hapa JF nikusaidie kukateua kawe kakuu ka wilaya yako.
Una mashaka na mimi? Inategemea na juhudi zako... zikiwa kubwa nakupandisha cheo unakuwa Malaika Karaokee kwenye wizara ya Mawe yenye thamani kubwa...Utanipa kama alichopewa Jokate au unataka unijokate tuu
Kama hivyo sawa. Ila bibi asijueUna mashaka na mimi? Inategemea na juhudi zako... zikiwa kubwa nakupandisha cheo unakuwa Malaika Karaokee kwenye wizara ya Mawe yenye thamani kubwa...
Ewaaa... unajua watu wengi hawajui ID yangu myingine ni "To be continued "
- Sala na Kazi
- Mal lumumba
- Palantir/Wick
- Financial Services
- Don Crelicuzio
- Sanctus Anacletus
- H.African
- Da'Vinci
- GuDume
- To be continued...
AiseeeNawakubali wengi hadi nashindwa kuwataja. Na ninaowakubali wanajijua pia
Babu umevuta eehEwaaa... unajua watu wengi hawajui ID yangu myingine ni "To be continued "
Ahsante kwa kunikubali babu yako. We lazima utakuwa jiniaz. Ntakuaward PhD ya kemia ya ubanguaji korosho.
Utamwambia?Kama hivyo sawa. Ila bibi asijue
Kwanini mpenzi?Babu umevuta eeh
HapanaUtamwambia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini mpenzi?
Sasa atajuaje?Hapana