Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Wote ukimaanisha hata Deo Kisandu?

Hakika wewe lazima utaenda mbinguni
Hahahaha
Niko MBINGUNI WALAHI!
Hata huyo pia, Maana bila yeye na post zake ambazo ni very interesting, ndio inayo ifanya JF kuwa JF!
 
  • Sala na Kazi
  • Mal lumumba
  • Palantir/Wick
  • Financial Services
  • Don Crelicuzio
  • Sanctus Anacletus
  • H.African
  • Da'Vinci
  • GuDume
  • Eddy mtatina
  • To be continued...
Ni watu ambao tuna-share vitu vingi mno, nikiwa jf 85% nakuanao tunashare vitu. Nawachukulia kama Brothers...
 
Last edited:
mimi kiukweli kuna members wana ni inspire sana sio mmoja na ninaomba niwaweke hapa kutokana na michango yao.
Humble africa
Kiranga
Shunie
Mzee Said Mohamed
Nyani Ngabu
Aspirin
Mwifwa
Malcom Lumumba
o
Mkuu hata mimi? Dah shukrani sana...

Hebu chagua kabinti kokote unakoona kanakufaa hapa JF nikusaidie kukateua kawe kakuu ka wilaya yako.
 
  • Sala na Kazi
  • Mal lumumba
  • Palantir/Wick
  • Financial Services
  • Don Crelicuzio
  • Sanctus Anacletus
  • H.African
  • Da'Vinci
  • GuDume
  • To be continued...
Ewaaa... unajua watu wengi hawajui ID yangu myingine ni "To be continued "

Ahsante kwa kunikubali babu yako. We lazima utakuwa jiniaz. Ntakuaward PhD ya kemia ya ubanguaji korosho.
 
Back
Top Bottom