Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaahh chieeeffff nnini bwanaaaBabu Asprin shauri yako hii salamu, mtibwa sugar utaendelea kuisikia masikioni tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Shukrani kwa kuniamini mkuu. Nakuelewa pia ndugu. Asante.mimi kiukweli kuna members wana ni inspire sana sio mmoja na ninaomba niwaweke hapa kutokana na michango yao.
Humble africa
Kiranga
Shunie
Mzee Said Mohamed
Nyani Ngabu
Aspirin
Mwifwa
Malcom Lumumba
Sorry bana, usije ukaukose uDC bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaahh chieeeffff nnini bwanaaa
Nakuonaaa unavyotaka kunipeperushia uDC wangu,..[emoji23][emoji23][emoji23]Sorry bana, usije ukaukose uDC bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Shukrani mkali mwenzangu Genius anaepiga miguu yote kama Fabregas...the man himself Da'Vinci mwenye macodes yake ya encrypted cryptographic kagonokasibility...Ahahaha!Ni watu ambao tuna-share vitu vingi mno, nikiwa jf 85% nakuanao tunashare vitu. Nawachukulia kama Brothers...
- Sala na Kazi
- Mal lumumba
- Palantir/Wick
- Financial Services
- Don Crelicuzio
- Sanctus Anacletus
- H.African
- Da'Vinci
- GuDume
- Eddy mtatina
- To be continued...
asante chief
Nimeacha, sasa nasubiri kufukuzia kuwa dereva wa VX yako[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuonaaa unavyotaka kunipeperushia uDC wangu,..[emoji23][emoji23][emoji23]
It gives great joy kujiona kwenye list yako..hii ni heshima kubwa sana.
Ee bwanaa eeh,afu umenikumbusha kitu ujue,..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeacha, sasa nasubiri kufukuzia kuwa dereva wa VX yako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dogo mwenye mawani kama shabaranks... Ahahaha!!
Hapo ndio penyewe, funguka mubashara kabisa...Ee bwanaa eeh,afu umenikumbusha kitu ujue,..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kile cheti chako cha udereva ulienda kukichukua?![emoji38]Hapo ndio penyewe, funguka mubashara kabisa...
Utani a ngumi huu mkuuDogo mwenye mawani kama shabaranks... Ahahaha!!
Kuanzia Leo utakuwa mshkaji wangu official. [emoji23] [emoji23]
Nitamtania nani nisipokutania wewe ndugu yangu!! But mawani ni poa ndio maana hata mshana Jr unamuona anapendeza nayo kwenye avatar yake.Utani a ngumi huu mkuu
Mimi ni mzalendo bana nachapa kazi bila cheti[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kile cheti chako cha udereva ulienda kukichukua?![emoji38]
Asante sana mkuu Humble AfricanNitamtania nani nisipokutania wewe ndugu yangu!! But mawani ni poa ndio maana hata mshana Jr unamuona anapendeza nayo kwenye avatar yake.
Umependeza mkuu na glass zako.
Au sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzalendooo sambaza upendoo[emoji23]Mimi ni mzalendo bana nachapa kazi bila cheti[emoji23] [emoji23] [emoji23]