Dejavu
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,568
- 3,427
Ndugu zangu, humu kuna member ni makini na wanaelewa mambo mengi mno na michango na mada zao zinakufungua sana akili na kukupanua kimawazo ila kutokana na mfumo kutowatambua wanakosa haki yao stahiki ya kuwa appreciated na hatimae kuwa underrated. Hii fursa yako kuwapa big up ili waendelee kuwa msaada kwenye hii forum.
Wataje, utoe sababu then uwatag ili wajue wana mchango sana kwako. Kifupi wataje wanaokukosha kwenye hii forum ya Melo.
Let's gooooooo!
Wataje, utoe sababu then uwatag ili wajue wana mchango sana kwako. Kifupi wataje wanaokukosha kwenye hii forum ya Melo.
Let's gooooooo!