Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hili cheko linazidi kunipa matumaini...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikaze buti kama Kichuya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili cheko linazidi kunipa matumaini...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unweza kuthibitisha Mungu yupo ?Hakuna kama Kiranga![emoji53][emoji53][emoji53]
Mkuu huwa unatema madini adimu sana kwenye kila nyanja, sasa yale ya mtaani kwetu ndio huwa na nata na "beat" kabisa.Shukran mkuu
ntashukuru sana mkuu nika hajar nifanyie hivyo mkuuo
Mkuu hata mimi? Dah shukrani sana...
Hebu chagua kabinti kokote unakoona kanakufaa hapa JF nikusaidie kukateua kawe kakuu ka wilaya yako.
Shukran sanaMkuu huwa unatema madini adimu sana kwenye kila nyanja, sasa yale ya mtaani kwetu ndio huwa na nata na "beat" kabisa.
Wife umewekwa kundi moja na Deo Kisandu. Tafakari na uchukue hatuaShukran mkuu
Deo anaitumikia Jamhuri ya Muungano sijui gereza gani.Wife umewekwa kundi moja na Deo Kisandu. Tafakari na uchukue hatua
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7]Shukrani sana xtaper[emoji120][emoji120][emoji8]
Shukran mkuu
Wewe sio mzigo ila umebeba mzigo huko nyuma!..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]