Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Much respect dude... music is my favorite industry na hata kama nipo njiani kuzama kwenye film industry, my deep passion in music itabaki pale pale, na kwa maana nyingine, will always be available!Respect sana mkuu chige hata mimi nazikubali sana nondo zako kwenye jukwaa la buradani. Tuombe Mungu kuna siku tunaweza shauriana kwenye hii tasnia ya muziki.
Wewe haupo kwenye kundi la wavivu wa ku-type manake usingeweza kuanzisha threads mara kwa mara!Hahahahah aiseee katika vitu mm mvivu ni kutype japo nikiamua kuandika loooh naweza andika mpaka basi tatizo watu wavivu kusoma ndo maana huwa nafanya ufupisho tuendane nao sawa
Nimerudi baada ya 5 days ban. Good good?Ahsante sana
Pole sana, welcome back friendNimerudi baada ya 5 days ban. Good good?
Pole sana, welcome back friend
The symbol @ then press the space bar followed by the name of the individual you wanna tag @ kiwikoGuys how do you tag someone???
Hahahahaaaaa.Ungeziona posts zangu za zamani wewe! Dadeki, mtu wakati wa kunisoma akiwa na kichwa kibovu; anaweza kupotea within a paragraph halafu asijue aliyokuwa anasoma ni para ya juu, ya chini yake au ndo hiyo hiyo anayoikodolea macho!
Mi nadhani wengine tumejaaliwa kipawa cha kuandika! Once you click a single key on the keyboard, maneno yana-flow tu on their own... ukija kushituka; umejaza ma-page!
Nina hilo tatizo hadi kesho! Hapa nilipo nina kipolo cha zitto junior kwenye thread ya Nyani Ngabu!
As usual, baada ya kugusa tu keyboard... vidole vikaanza kutiririka tu; kuja kushituka, Hamad! Napeleka kwenye MS Word ili kujua words count, nakuta nimegonga kwenye 1456 words halafu vidole bado vina genye ya kuendelea kutiririka!
Hapa nilipo nipo kwenye kibarua cha kuifupisha na kuipangilia ili ku-meet "JF Standard!" Standard ya wavivu wa kusoma!
Tena eh! Leo hapa nimetoa siri yangu!
Ukiona nachelewa kujibu post tu; jua kama ni kuandika, nishaandika zamani lakini words count ipo kwenye 6589 halafu naona duh!! Hii sasa too much!!
Afu Mungu bhana, anaacha kutupa vipaji vya akina Diamond Platnumz, ingekuwa tunawatafuna tu hivi sasa akina Demiss, kiulainii bila kuhitaji msaada wa akina Mwifwa!! Kinyume chake, tunashushiwa zigo ambalo hata totoz wenyewe linawaboa; aaaaaaargh!!