Mwana mfalme wa Bahrain ailaani (condemn) hamas na unyama waliofanya october 7th

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Haijalishi wewe ni muislam au lah lakini kama una akili za kutosha hauwezi furahia unyama walioufanya hamas. Jana tu tumepokea taarifa dogo wetu mtanzania ni kwamba hayupo tena na sisi.

Huyu prince ni mmoja wa waislam wachache ambao wamejitokeza kukiri ujinga wa hamas wengine wanajifanya itikadi kali, okey sawa.


View: https://youtu.be/RMtJIjUMR68?si=OxW4TMcAPSrL44cY
 
Uislamu hauna idol wala mtakatifu ,kama kama kalaani ni yeye usilazimishe ...Sio nyie yule papa akisema basi mnafuata ...

Tamko ni lake maana kila mtu anatumia akil zake.
Hapo Pope Kaingiaje Sasa...?

Hoja ni Mwanamfalme Kuwalaumu Hamas....

Sasa huyo Baba Uliyemtaja Kafanyaje tena...?

Mbona Unataka Kulifanya Jambo Liwe Mtambuka..?
 
Yeye ni nani kwenye uislam, hata mnajaji waislam wote duniani, huyo ni kama watu wengine kwa jina zuri ni mnafiki tu.
 
Kinachotokea Palestine hakina utofauti yoy ote na vita vya ukombozi.
Kwa hiyo vita ya ukombozi inafanywa bila kutumia akili!?

Huwezi kuona tembo wameingia kwenye shamba lako ukachukua fimbo kwenda kuwachapa kisa tu unajua kukimbia bila kujali una familia wasiojiweza.
Huo ni ujuha.
 
Hapo Pope Kaingiaje Sasa...?

Hoja ni Mwanamfalme Kuwalaumu Hamas....

Sasa huyo Baba Uliyemtaja Kafanyaje tena...?

Mbona Unataka Kulifanya Jambo Liwe Mtambuka..?
Hakuna matamko ya mtu yupo sawa kwa upande wake.

Kama papa karuhusu ushoga kama mawazo yake wewe utakubali kuwa shoga?
 
israel sio wavamizi wa ardhi ya palestina usilinganishe na wakoloni walioivamia Afrika
 
Genocide is genocide Hamas started the genocide so they ought to live by.
 
ni kichekesho, yeye ni nani mpaka aagize? Hata kama angekuwa ni rais wa Tanzani hilo agizo lingeishia hapahapa nchini wala Israel isingesikia amesema nini na vyombo vikubwa vya habari vya magharibi visingeandika. Duniani wenye sauti wakiongea wanajulikana na kupewa attention
 
Uislamu hauna idol wala mtakatifu ,kama kama kalaani ni yeye usilazimishe ...Sio nyie yule papa akisema basi mnafuata ...

Tamko ni lake maana kila mtu anatumia akil zake.
Kwa hiyo Hamas wakisema ndio mtawakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…