Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Nan anawakubali Hamas ?Kwa hiyo Hamas wakisema ndio mtawakubali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nan anawakubali Hamas ?Kwa hiyo Hamas wakisema ndio mtawakubali?
Hiyo elimu nyingine uliyotaja mwishoni hawaisomi na kuielewa bali wanaikariri ndio maana hawatafakari.Mimi nimesema "kusoma"
Asante mkuu wangu.Hiyo elimu nyingine uliyotaja mwishoni hawaisomi na kuielewa bali wanaikariri ndio maana hawatafakari.
"The Prince completed his high school education at Bahrain School, and then went on to earn a BA degree in political science from the American University in Washington D.C. (1992), followed by a M.Phil. degree in history and philosophy of science from Queens' College, Cambridge, England (1994).[5]"Du !! Huyu ni mwarabu wa kwanza anayeongea kizungu kilichonyooka bila kuchanganya tunes za kiarabu
Hawa wa huku bongo wanadanganyana kuwa ILIM dunia ni haramu, eti kile kitabu Chao Cha dini kimekamilika ukikisoma chote automatically unakuwa daktari, mwanasheria, injinia nk .Lakini nashangaa wahitimu wa hicho kitabu wanaishia kuwa wauza mitishamba wanayoiita " ya Kisuna""The Prince completed his high school education at Bahrain School, and then went on to earn a BA degree in political science from the American University in Washington D.C. (1992), followed by a M.Phil. degree in history and philosophy of science from Queens' College, Cambridge, England (1994).[5]"
Hawa ni wale Waarabu walioenda kula pizza za Washington DC na Oxbridge. Msikilize Mfalme Abdullah wa Jordan naye hivyo hivyo.
Huyo Mfalme Abdullah wa Jordan familia yao wanadai ni vijukuu wa Mtume wao Muhammad, na bado kasoma Oxford na Georgetown.Hawa wa huku bongo wanadanganyana kuwa ILIM dunia ni haramu, eti kile kitabu Chao Cha dini kimekamilika ukikisoma chote automatically unakuwa daktari, mwanasheria, injinia nk .Lakini nashangaa wahitimu wa hicho kitabu wanaishia kuwa wauza mitishamba wanayoiita " ya Kisuna"
We mweusi hapo Congo damu ina mwagika tangu miaka ya 60 umefanya nini. Hiv unajua kuna wapalestina waisrael na hawana shida. Ila hawa kwasababu nia yao Israel ife waache wafe wao.Hawa wapalestina wamekuwa wakiishii chini ukoloni wa israel kwa zaidi ya miaka 70. Watu kama nyie wenye akili fupi mnataka kuonyesha kwamba hamas walianzisha vita October 7. Ingekuwa Hawa ni wapiginia ukoloni kama ZANUPF, ANC, MAUMAU au UNITA Leo nchi Nzima ingekuwa inawaombea kwa sababu ni watu weusi. Kinachotokea Palestine hakina utofauti yoy ote na vita vya ukombozi. Sisi watu weusi tulivyokuwa wajinga na mambumbu badala angalua kupiga kelele vita visimame hata kama huwa pendi Palestine kwa sabubu ya damu inamwagika, tumebaki kushangilia wauwawe tu. Yani kwasababu sio mtu mweusi akifa haina shida. Kaa Chini jitafakari kama wewe sio mnyama wa porini Anaye fanania binadamu. Initia aibu na kuuzinisha mtu mweusi baado nyuma kiakili na kifikira
Enyi mlioamini, msimtusi mtu.....Alisikika mama kaundime baada kupakuliwa na tajiri wa Kiarabu toka Bahrain
Daa! nimecheka sana