Mwana mfalme wa Bahrain ailaani (condemn) hamas na unyama waliofanya october 7th

Du !! Huyu ni mwarabu wa kwanza anayeongea kizungu kilichonyooka bila kuchanganya tunes za kiarabu
"The Prince completed his high school education at Bahrain School, and then went on to earn a BA degree in political science from the American University in Washington D.C. (1992), followed by a M.Phil. degree in history and philosophy of science from Queens' College, Cambridge, England (1994).[5]"

Hawa ni wale Waarabu walioenda kula pizza za Washington DC na Oxbridge. Msikilize Mfalme Abdullah wa Jordan naye hivyo hivyo.
 
Hawa wa huku bongo wanadanganyana kuwa ILIM dunia ni haramu, eti kile kitabu Chao Cha dini kimekamilika ukikisoma chote automatically unakuwa daktari, mwanasheria, injinia nk .Lakini nashangaa wahitimu wa hicho kitabu wanaishia kuwa wauza mitishamba wanayoiita " ya Kisuna"
 
Huyo Mfalme Abdullah wa Jordan familia yao wanadai ni vijukuu wa Mtume wao Muhammad, na bado kasoma Oxford na Georgetown.
 
We mweusi hapo Congo damu ina mwagika tangu miaka ya 60 umefanya nini. Hiv unajua kuna wapalestina waisrael na hawana shida. Ila hawa kwasababu nia yao Israel ife waache wafe wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…