KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
Qur'an 110:
1. Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, 1 2. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, 2 3. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. 3